Kongamano kuhusu wakimbizi na wahamiaji barani Afrika linalofanyika mjini Berlin, Ujerumani | Masuala ya Jamii | DW | 01.10.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano kuhusu wakimbizi na wahamiaji barani Afrika linalofanyika mjini Berlin, Ujerumani

Mjini Berlin hapa Ujerumani hii leo kumeanza kongomano la siku mbili kuzungumzia suala la wakimbizi na wahamiaji barani afrika.

default

Wakimbizi barani Afrika

Kongamano hilo limeandaliwa na shirika la missio la Ujerumani kwa kushirikiana na shirika la misaada la kanisa katoliki pamoja na mtandao wa misaada kwa afrika, mtandao ambao ni wa Ujerumani.

Mwenzetu Mohamed Abdulrahamani anahudhuria kongamano hilo, na aliwasiliana na Aboubakary Liongo aliyetaka kwanza kufahamu yale haswa yanayojadiliwa.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com