Kofi Annan akutana na wanaharakati kutoka mashirika ya kijamii. | Masuala ya Jamii | DW | 06.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kofi Annan akutana na wanaharakati kutoka mashirika ya kijamii.

Aliyekuwa katibu mkuu umoja wa mataifa na mpatanishi mkuu katika mzozo uliotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu Bw. Kofi Annan,hii leo amefanya mkutano na wanaharakati kutoka mashirika ya kijamii jijini Nairobi.

default

Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa,bw Kofí Annan.

Annan yuko nchini humo kutathmini hatua zilizopigwa na serikali katika kuyafanyia marekebisho maswala yanayonuia kumaliza matatizo ya muda mrefu. Jane Nyingi alizungumza na naibu mwenyekiti wa tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu Hassan Omar Hassan na mmoja wa wanaharakati waliohudhuria mkutano huo na anaanza kwa kusema:

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com