Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Facebook

Facebook ni huduma ya mawasiliano ya matandaoni. Ilianzishwa Februari 4, 2004 na Mark Zuckerberg. Ikiwa na watumiaji hai zaidi ya bilioni moja, Facebook ndiyo mtandao maarufu zaidi wa kijamii duniani.

Kuanzia siku zake za mwanzo na upanuzi duniani hadi kuingia katika soko la hisa mwaka 2012, DW imekuwa ikiripoti kuhusu mtandao huo wa kijamii. Rambaza ukurasa huu upate ripoti kuhusu Facebook na masuala ya kimataifa yanayohusiana na mtandao huo na matumizi ya mitandao ya kijamii.

Onesha makala zaidi