Kocha Msaidi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema ili kumudu medani ya soka la kimataifa kwa taifa hilo kunahitajika mpango kabambe wa kuinua vipaji vipya vya vijana. Zaidi msikilize alivyozungumza na Sudi Mnette katika makala ya Kinagaubaga.