KHARTOUM:Sudan yakubali majeshi ya UNO na AU | Habari za Ulimwengu | DW | 18.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KHARTOUM:Sudan yakubali majeshi ya UNO na AU

Serikali ya Sudan imekubali bila ya masharti yoyote kuyaruhusu majeshi ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika yalinde amani katika jimbo la Darfur.Habari hizo zimethibitishwa na serikali hiyo pamoja na ujumbe wa baraza la usalama la Umoja wa mataifa uliofanya mazungumzo na rais Omar Bashir wa Sudan.

Jeshi hilo litakuwa na askari alfu 19.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com