KAMPALA:Pingamizi dhidi ya ndoa ya jinsia moja zapamba moto | Habari za Ulimwengu | DW | 03.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KAMPALA:Pingamizi dhidi ya ndoa ya jinsia moja zapamba moto

Askofu mkuu wa kanisa la Kianglikana nchini Uganda Henry Luke Orombi amemtawaza kasisi wa Kimarekani na kuwa askofu katika wimbi jipya la hatua ya viongozi wa dini ya kikristo wanaopinga ndoa za jinsia moja.

Wimbi hilo pia limekumba kanisa la Kianglikana nchini Marekani na linakabiliwa na kuondokewa na makasisi wanaopinga ndoa hizo za jinsia moja.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com