ISLAMABAD:Musharraf atoa mwito juu ya kuleta maridhiano. | Habari za Ulimwengu | DW | 07.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ISLAMABAD:Musharraf atoa mwito juu ya kuleta maridhiano.

Rais Pervez Musharraf wa Pakistam ametoa mwito juu ya kuleta maridhiano nchini, baada ya kuidhinishwa na bunge ili asimame katika uchaguzi wa kugombea urais kwa kipindi cha pili.

Lakini mahakama kuu inatarajiwa kutoa uamuzi iwapo hatua ya bunge kumwidhinisha rais huyo ni sahihi kisheria.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com