ISLAMABAD: Makubaliano ya biashara huru kati ya China na Pakistan | Habari za Ulimwengu | DW | 25.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ISLAMABAD: Makubaliano ya biashara huru kati ya China na Pakistan

China na Pakistan zimetia saini makubaliano ya biashara huru.Kuambatana na makubaliano hayo, biashara kati ya nchi hizo mbili itaongoezwa kwa mara tatu kufikia hadi dola bilioni 15 katika kipindi cha miaka mitano ijayo.Makubaliano hayo yalitiwa saini wakati wa ziara ya rais wa China Hu Jintao nchini Pakistan ikiwa ziara ya kwanza kufanywa na kiongozi wa China tangu miaka kumi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com