1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

House of One: Mradi wa kuzileta pamoja dini mbalimbali Berlin

Harrison Mwilima28 Julai 2021

Kama njia ya kupinga uhasama na kuleta mahusiano mazuri kati ya dini mbali mbali, mji mkuu wa Ujerumani Berlin umeanzisha ujenzi wa mradi unaoitwa House of One au kwa Kiswahili Nyumba ya Mmoja, kwa maana ya Mungu Mmoja. Nyumba hiyo iliyoanza kujengwa rasmi tarehe 27 mwezi Mei, italeta pamoja waumini wa dini za kikristu, kiislamu na kiyahudi kufanya ibada zao chini ya paa moja.

https://p.dw.com/p/3yByy