Hoteli ya Kempinski haitoendeshwa tena Zanzibar
16 Mei 2011Matangazo
Mmiliki wa hoteli hiyo ya kifahari
sasa anatafuta kampuni nyingine kusimamia uendeshaji wa hoteli
hiyo. Na ilivokuwa watalii wenye kujiweza wanaoelekea Visiwani
Zanzibar makaazi yao huwa katika hoteli hiyo, Othman Miraji
alizungumza hivi punde na katibu mkuu wa wizara ya habari,
utamaduni, utalii na michezo ya Zanzibar, Dr Ali Mwinyikai, kupata
zaidi kuhusu mada hii...