Hali nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 12.11.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Hali nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Kundi la waasi linaloongozwa na Jenerali muasi Laurent Nkunda limekanusha taarifa za vyombo vya habari nchini Kongo kwamba limeunda serikali yake ambayo inasemekana inawajumuisha mawaziri 12.

default

Jenerali Laurent Nkunda akanusha taarifa kwamba ameunda serikali yake.

Saumu Mwasimba alizungumza na Jenerali Laurent Nkunda na kwanza alitaka kupata ukweli juu ya ripoti hizo.


Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com