Darubini ya miaka 15 ya Angela Merkel kama kansela wa Ujerumani
Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii inapigia darubini kipindi cha miaka 15 ya uongozi wa Kansela wa Ujerumani Angela Merkel. Ni matukio yapi muhimu yametokea katika kipindi cha uongozi wake mpaka sasa? Harrison Mwilima anasimulia zaidi
Sikiliza sauti
09:45
Shirikisha wengine
Darubini ya miaka 15 ya ukansela wa Angela Merkel Ujerumani