COLOGNE: Waislamu Ujerumani walaani ugaidi na matumizi ya nguvu | Habari za Ulimwengu | DW | 07.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

COLOGNE: Waislamu Ujerumani walaani ugaidi na matumizi ya nguvu

Baraza la Waislamu nchini Ujerumani,limelaani ugaidi na matumizi ya nguvu yanayofanywa kwa jina la dini.Baraza hilo mjini Cologne,limetoa mwito kwa Waislamu wote wanaoishi nchini Ujerumani, kuhifadhi amani katika jamii na wapinge itikadi kali na wala isiruhusiwe katika misikiti.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com