1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

FC Cologne

FC Cologne iliundwa mwaka 1946 baada ya kuungana kwa timu mbili za Kölner Ballspiel na SpVgg Sülz. Walishinda taji la kwanza kabisaa la Bundesliga mwaka 1964, moja ya mataji matatu ya ubingwa wa Ujerumani waliyonayo.

Katika zama za sasa, ni timu ya kupanda na kushuka, lakini Cologne ililkuwa timu kubwa wakati wa kukua kwa soka la Ujerumani. Mabingwa hao wa msimu wa kwanza wa Bundesliga ni mmoja ya timu zenye mafanikio makubwa zaidi katika kombe la Ujerumani, wakiwa wamefika fainali mara kumi na kuibuka mabingwa mara nne. Maudhui za DW kuhusu Cologne ni katika ukurasa huu.

Onesha makala zaidi