1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uislamu

Uislamu ni dini inayomtangaza Mungu mmoja, na waumini wake wanaitwa Waislamu, ambao wengi wao ni ama Sunni (asilimia 75 hadi 90) au Washia (asilimia 10 hadi 20)

Qur-an ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Kiislamu. Sunna, zikijumlisha maelezo yanayoitwa hadith za Mtume Muhammad, zinafuatwa na Waislamu walio wengi zaidi. Karibu asilimia 13 ya Waislamu wanaishi Indonesia, asilimia 25 katika kanda ya Asia Kusini, asilimia 20 katika kanda ya Mashariki ya Kati na asilimia 15 katika eneo la kusini mwa jangwa la Afrika. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu Uislamu.

Onesha makala zaidi