1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Cologne

Cologne ndiyo mji mkubwa zaidi katika jimbo la shirikisho la Ujerumani la North Rhine-Wetsoahlia, moja ya kanda muhimu za Ulaya na kubwa zaidi nchini Ujerumani. Mji huo una wakaazi zaidi ya milioni moja.

Mji wa Cologne unafahamika kuwa kituo muhimu cha habari. Vituo kadhaa vya redio na televisheni vikiwemo vya Westdeutscher Rundfunk (WDR), RTL na Vox, vina makao yake makuu mjini Cologne. Sherehe za kanivo ndiyo moja ya matukio makubwa zaidi ya mitaani barani Ulaya. Ukurasa huu unajumlisha maudhi za karibuni za DW kuhusu Cologne.

Onesha makala zaidi