Chama cha CUF pia chatangaza kutoshiriki uchaguzi | Matukio ya Afrika | DW | 12.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Chama cha CUF pia chatangaza kutoshiriki uchaguzi

Chama kingine cha upinzani CUF nchini Tanzania, pia kimetangaza leo kuwa hakitashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadaye mwezi huu. Sawa na vyama vingine vikuu vya upinzani vilivyojiondoa kwenye uchaguzi huo, chama cha CUF kimedai kuwa hakuna haki na usawa.

Tazama vidio 01:47