BERLIN: Rais wa Ujerumani ziarani Amerika ya Kusini | Habari za Ulimwengu | DW | 04.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Rais wa Ujerumani ziarani Amerika ya Kusini

Rais Horst Köhler wa Ujerumani hii leo ameanza ziara yake rasmi ya kwanza barani Amerika ya Kusini.Ziara hii ya siku 12 itampeleka Paraguay,Brazil na Colombia.Hii ni mara ya kwanza kabisa kwa rais wa Ujerumani kuizuru Paraguay.Köhler amefuatana na tume ya kiuchumi na anatazamiwa kuitumia ziara hii kujadilia masuala ya kijamii na kiuchumi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com