BERLIN: Msaada zaidi kutoa mafunzo ya kijeshi | Habari za Ulimwengu | DW | 07.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Msaada zaidi kutoa mafunzo ya kijeshi

Waziri wa masuala ya nje wa Ujerumani,Frank-Walter Steinmeier anataka kupeleka Afghanistan, maafisa zaidi wanaotoa mafunzo ya kijeshi. Amesema,polisi na majeshi ya Afghanistan yapaswa kusaidiwa mpaka yatakapoweza kusimamia usalama na utaratibu peke yake.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com