BERLIN: Merkel atetea ajenda ya kuhifadhi mazingira | Habari za Ulimwengu | DW | 19.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Merkel atetea ajenda ya kuhifadhi mazingira

Kansela wa Ujerumani,Angela Merkel ametetea ajenda ya serikali yake iliyo na matumaini makuu ya kuhifadhi mazingira.Alipohojiwa na gazeti la Kijerumani,“Bild am Sonntag“ Kansela Merkel alisema,kila hatua ya kugombea mazingira, isitafsiriwe moja kwa moja kuwa ni mzigo kwa uchumi.Akasisitiza kuwa jumuiya ya kiuchumi hatimae itapata hasara kubwa kama mazingira hayatoshughulikiwa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com