1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sanaa ya utungaji wa ushairi ni kongwe kwa Waswahili

Mohammed Khelef3 Agosti 2015

Jamii ya Waswahili haifahamiki sana kwa sanaa za uchoraji, uchongaji na maonyesho, lakini ni mashuhuri sana kwa tungo zake za ushairi ambazo zinarudi nyuma tangu maandishi ya awali kabisa ya Kiswahili yaliyokuwa yakiandikwa kwa hati za Kiarabu kugunduliwa. Mtaalamu wa Kiswahili, Ibrahim Noor Sharif anazungumzia dhana ya tungo kwenye Kiswahili.

https://p.dw.com/p/1G579