1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za kimazingira katika eneo la bonde la Ziwa Victoria

19 Agosti 2020

Mwandishi Musa Navie anazungumza Katibu Mtendaji wa Tume ya Binde la Ziwa Victoria, Dk. Said Ali Matano na anajikita katika tathmini ya athari za kimazingira na mengineyo katika eneo la bonde hilo, zaidi sikiliza katika kipindi cha Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/3hBFk