1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.01.2016: Matangazo ya mchana

SK2 / S02S30 Januari 2016

Mkutano mkuu wa kilele wa viongozi wa Afrika unaanza mjini addis Ababa, ambapo suala la mgogoro wa Burundi liko usoni mwa ajenda, kundi kuu la upinzani nchini Syria liko njiani kuelekea Gevena kushiriki mazungumzo ya amani yalioitishwa na Umoja wa Mataifa, na marais wa Marekani na Brazil wakubaliana kuanzisha juhudi za pamoja kukabiliana na kirusi cha Zika.

https://p.dw.com/p/1HmIj