Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni pamoja na: Waziri Mkuu wa Ugiriki aitisha kura ya maoni juu ya mageuzi inayotakiwa kufanya kuinusuru isifilisike// Misikiti isiokuwa chini ya mamlaka ya kisheria nchini Tunisia kufungwa kufuatia shambulio la kigaidi lililosababisha maafa// Waziri wa Mambo ya nje wa marekani John Kerry awasili Vienna kwa mkondo wa mwisho wa mazungumzo ya nyuklia na Iran