1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.08.2015. Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S23 Agosti 2015

Miongoni mwa taarifa za Mchana: Macedonia yakubali wakimbizi kuingia nchini mwake, baada ya kuwazuia kwa siku tatu.// Ujerumani yalaani vurugu dhidi ya wahamiaji katika mji wa Heidenau mashariki mwa nchi. // Na mazungumzo ya kutatua mvutano wa mpaka wa Korea Kusini na Kaskazini yaendelea.

https://p.dw.com/p/1GK9K