1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.01.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Josephat Charo
13 Januari 2026

Rais Donald Trump wa Marekani atangaza ushuru kwa washirika wa kibiashara wa Iran. Watu wawili wauwawa kufuatia shambulizi la Urusi mjini Kharkiv. Na Somalia yafuta makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu.

https://p.dw.com/p/56iAf