Rais wa Urusi Vladmir Putin aongoza maadhimisho ya miaka 70 tangu kumalizika kwa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia // Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa amesajiliwa rasmi kama mgombea wa uchaguzi wa rais// Mahakama moja ya Misri imemhukumu rais aliyeondolewa madarakani Hosni Mubarak na wanawe wawili wa kiume kifungo cha miaka mitatu gerezani