1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar yapiga kura ya mapema

Zainab Aziz
27 Oktoba 2020

Visiwani Zanzibar Jumanne linafanyika zoezi la kupiga kura ya mapema ambapo watu maalum wataruhusiwa kushiriki pamoja na kwa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa wa tume ya uchaguzi DW imezungumza na mwandishi wa habari aliyeko Unguja Ally Mohamed, kutaka kujua hali ilivyo kwa jumla.

https://p.dw.com/p/3kUNm