Watanzania washerehekea miaka 47 ya Uhuru
8 Desemba 2008Matangazo
Maadhimisho hayo yanafanyika wakati wananchi wengi wa nchi wakiwa kwenye dimbwi la umaskini na pengo kati ya maskini na matajiri likizi kutanuka na hiyo kutishia amani ambayo ni mojawapo ya matunda mazuri ya kujivunia ya uhuru.
Mohamed Dahman amezungumza na Dr. Mohamed Bakari wa taaluma ya sayansi ya chuo kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania juu ya maadhimisho hayo.