WASHINGTON: Rice amekiri makosa katika sera ya Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 02.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: Rice amekiri makosa katika sera ya Irak

Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani,Condoleezza Rice amekiri kuwa makosa yamefanywa kuhusu siasa ya Irak.Katika mahojiano yake na stesheni ya televisheni ya Al Arabiya,Rice amesema,bila shaka kuna mambo fulani ambayo yangaliweza kufanywa vingine na serikali yake.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com