WASHINGTON: Marekani kupeleka wanajeshi wengine 35,000 Iraq | Habari za Ulimwengu | DW | 09.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: Marekani kupeleka wanajeshi wengine 35,000 Iraq

Wizara ya ulinzi nchini Marekani-Pentagon imetangaza kuwa vikosi vingine 10 vimepokea amri ya kwenda Irak.Msemaji wa wizara hiyo,Bryan Whitman amesema,vikosi hivyo vya kama wanajeshi 35,000 vitapelekwa Irak mwaka huu,kati ya mwezi wa Agosti na Desemba.Akaeleza kuwa vikosi hivyo vitaisaidia Marekani kuimarisha kiwango cha majeshi yake nchini Irak,angalao hadi mwishoni mwa mwaka 2007.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com