1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wapinzani Tanzania wakutana Zanzibar

Mohammed Khelef
17 Desemba 2018

Viongozi wa ngazi za juu wa vyama vya upinzani nchini Tanzania wanakutana mjini Unguja kujadili mwelekeo wa hali ya siasa ya taifa hilo la Afrika Mashariki ambalo katika siku za karibuni limejikuta kwenye mbinyo wa kimataifa kutokana na rikodi yake ya haki za binaadamu na demokrasia inayotajwa kudidimia. Mohammed Khelef anazungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Nassor Mazrui

https://p.dw.com/p/3AGe7