1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Zitto Kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe alizaliwa Septemba 24, 1976 katika kijiji cha Mwandiga, Kigoma nchini Tanzania. Jina lake maarufu ni Zitto Kabwe na ni mwanasiasa mahiri nchini Tanzania.

Zitto alikuwa mwanachama wa chama cha CHADEMA kuanzia 1992 hadi alipofukuzwa katika chama hicho Machi 2015. Alihudumu kama mbunge wa Kigoma Mjini kwa mihula miwili kuanzi 2005 hadi 2015. Machi 19, 2015 alijiunga rasmi na cha cha Alliance for Change and Transparency - ACT Wazalendo ambako anahudumu kama kiongozi wake mkuu. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Zitto Kabwe.

Onesha makala zaidi