Wanawake Saudi Arabia ruksa kuendesha gari | Media Center | DW | 27.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wanawake Saudi Arabia ruksa kuendesha gari

Saudi Arabia imeondoa marufuku kwa wanawake kuendesha gari, Kansela Angela Merkel aongoza kikao cha kwanza cha wabunge wa chama chake -CDU baada ya uchaguzi wa Septemba 24, na huko Kenya, Mkutano wa tume ya uchaguzi na mipaka, IEBC na kambi kuu za kisiasa nchini humo waahirishwa kutokana na tofauti juu ya mada. Papo kwa Papo 27.09.2017

Tazama vidio 01:44