Wanawake mjini Goma, DRC waandamana dhidi ya vita vinavyoendelea kati ya majeshi ya Serikali na Waasi wa CNDP | Matukio ya Kisiasa | DW | 22.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Wanawake mjini Goma, DRC waandamana dhidi ya vita vinavyoendelea kati ya majeshi ya Serikali na Waasi wa CNDP

Nchini Kongo wanawake wameandamana mjini Goma mashariki ya nchi hiyo wakiwa lengo la kulalamikia vita vinavyoendelea kwenye eneo hilo.

Wananchi wa Goma wakimbia makazi yao kutokana na vita

Wananchi wa Goma wakimbia makazi yao kutokana na vita

Ghasia zimekuwa zikiendelea kati ya majeshi ya serikali na waasi wa CNDP wanaoongozwa na Jenerali muasi Laurent Nkunda.Mwishoni mwa wiki iliyopita Ujumbe wa Umoja wa mataifa nchini Kongo MONUC ulijaribu kupoza mashambulizi yaliyotokea kati ya makundi hayo mawili katika mapigano kwenye eneo la Sake lililo karibu na mji wa Goma.Kwa upande mwingine jana gavana wa mkoa wa Kivu ya Kaskazini Julien Paluku pamoja na waziri wa ulinzi Chikeze Diemo walitekwa nyara na wanawake wawanajeshi kwenyi kambi ya Katindo mjini Goma.

Mwandishi wetu wa Goma John Kanyunyu alishuhudia maandamano hayo na kuandaa taarifa ifuatayo.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com