Wanajeshi wawili wahukumiwa kifo Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
17 Aprili 2007
Wanajeshi wawli nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kuhusika na mauaji ya mwandishi wa habari wa gazeti moja mashuhuri nchini humo mwezi Novembea mwaka 2005.