Wanafunzi wafyatuliwa risasi Marekani | Habari za Ulimwengu | DW | 12.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Wanafunzi wafyatuliwa risasi Marekani

LAS VEGAS:

Nchini Marekani,wanafunzi 6 wamepigwa risasi walipokuwa wakiteremka basi lao la shule katika mji wa Las Vegas.Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, wanafunzi 2 wamo katika hali mbaya sana. Inaaminiwa kuwa si chini ya watu wawili walihusika katika mashambulizi hayo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com