1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushirikiano wa matibabu ya kibingwa kati ya Ujerumani- Kenya

8 Januari 2024

Ushirikiano kati ya madaktari wa Kenya na wenzao kutoka Ujerumani umechangia pakubwa kuimarisha utoaji huduma za matibabu ya kawaida na kibingwa katika eneo la Nyanza Magharibi mwa Kenya. Baadhi ya madaktari raia wa Kenya ambao waliwahi kuhudumu nchini Ujerumani, wamekuwa wakiwaalika wenzao kwa ajili ya kujitolea kwa miaka isiopungua sita sasa.

https://p.dw.com/p/4axsd
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Malawi 2015 | Überschwemmungen - Malaria-Test
Picha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliancePicha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliance

Kurunzi Afya

DW Kisuaheli inakuletea vidio maalumu kuhusu masuala ya afya. Kila wiki Dkt. Sizya atakuwa akikuelimisha kuhusu mada muhimu zinazuhusu afya yako.