Wagombea kutoka pande zote | Mada zote | DW | 20.08.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wagombea kutoka pande zote

Wakati uchaguzi mkuu wa Ujerumani ukikaribia, wagombea wa ukansela wanataka kujionyesha tu katika mwanga bora. Mbali na sura yao ya kazi, wana sura nyingine isiyofahamika.