Vyombo vya habari nchini Kenya vyakaribisha sheria mpya. | Matukio ya Kisiasa | DW | 19.03.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Vyombo vya habari nchini Kenya vyakaribisha sheria mpya.

Magazeti ya Kenya yasifu sheria mpya

default

Watu kadha wakijisalimisha maisha yao kutokana na machafuko nchini Kenya katika mji wa Naivasha, machafuko yaliyosababishwa na kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika Desemba mwaka jana.Magazeti  ya  Kenya  leo  yamekaribisha  hatua  ya kuanzishwa  sheria  mpya  zitakazofikisha  kikomo mzozo  wa  kisiasa, lakini  yamelionya  bunge   kuwa watarajie  hali  ngumu  hapo  baadaye  katika utekelezaji  wa  makubaliano  ya  kugawana madaraka   pamoja  na  kuifanyia  mageuzi  katiba ya  nchi  hiyo.


 • Tarehe 19.03.2008
 • Mwandishi Kitojo, Sekione
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/DR3C
 • Tarehe 19.03.2008
 • Mwandishi Kitojo, Sekione
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/DR3C
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com