Uturuki yaionya serikali ya Syria | Mada zote | DW | 04.01.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Uturuki yaionya serikali ya Syria

Uturuki yasema mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria yatahatarisha mazungumzo ya amani ya mwishoni mwa mwezi. Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Gambia akimbilia Senegal kwa kuhofia maisha yake. Na, mwanamuziki maarufu, Janet Jackson, ajifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50.

Tazama vidio 01:37
Sasa moja kwa moja
dakika (0)