Upinzani na serikali wakutana DRC | Anza | DW | 03.01.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Upinzani na serikali wakutana DRC

Upinzani na serikali DRC wakutana leo kujadili njia za kutekeleza makubaliano ya amani yaliyofikiwa. Polisi wa Uturuki wachapisha picha ya mtuhumiwa wa shambulio la Mwaka Mpya mjini Istanbul Na, watu 60 wauawa katika gereza moja nchini Brazil kufuatia ghasia kubwa baina ya makundi hasimu.

Tazama vidio 01:39