Upinzani Kenya watoa masharti kabla ya uchaguzi wa marudio | Media Center | DW | 05.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Upinzani Kenya watoa masharti kabla ya uchaguzi wa marudio

Marekani yataka Korea Kaskazini ichukuliwe hatua kali. Kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga amesema hatoshiriki uchaguzi wa marudio wa Oktoba 17. Polisi nchini Rwanda wamkamata mkosoaji mkubwa wa Rais paul Kagame, Diana Rwigara. Papo kwa Papo 05.09.2017.

Tazama vidio 02:00
Sasa moja kwa moja
dakika (0)