Unaweza kucheza muziki hewani? | Media Center | DW | 08.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Unaweza kucheza muziki hewani?

Kikundi kimoja cha kuandaa matamasha mjini Frankfurt, Ujerumani, kimeigeuza ndege moja ya kutoa mafunzo kwa wanaanga au astronauts kuwa klabu ya kwanza ya muziki duniani ambapo watu wanacheza hewani kwa kuwa sehemu ya ndani ya ndege hiyo haina nguvu za mvutano au gravity zinazomfanya mtu aweze kusimama.

Tazama vidio 00:46
Sasa moja kwa moja
dakika (0)