1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Frankfurt

Mji wa Magharibi wa Frankfurt kwenye mto mkuu ndiyo mji wa tano kwa ukubwa nchini Ujerumani, ukiwa na wakaazi karibu 700,000. Ni mmoja ya vituo muhimu vya kifedha duniani, na eneo la maonyesho ya viwanda na biashara.

Benki Kuu ya Ulaya, Benki Kuu ya Ujerumani, Soko la Hisa la Frankfurt na benki kadhaa kubwa zote zina makao yake mjini Frankfurt. Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW kuhusu mji wa Frankfurt.

Onesha makala zaidi