Umoja wa Ulaya kupunguza msaada wa jeshi Burundi | Matukio ya Afrika | DW | 30.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Umoja wa Ulaya kupunguza msaada wa jeshi Burundi

Umoja wa Ulaya unatathmini kupunguza asilimia 20 ya msaada wake kwa wanajeshi wa Burundi katika kikosi cha AMISOM ili kuishinikiza serikali ya nchi hiyo ikubali kukaa kwenye meza ya majadiliano.

Sikiliza sauti 02:41

Sikiliza ripoti ya Amida Issa kutoka Bujumbura

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com