Chanzo cha urafiki kati ya Ujerumani na Marekani, kinatokana na tukio la miaka 70 iliyopita wakati ambapo utawala wa USOVIET ulizifunga njia zote za kuihudumia sehemu ya magharibi ya mji wa Berlin. Tegea sikio makala ya Sura ya Ujerumani ujue zaidi ukisimuliwa naye Oumilkheir