1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tofauti iliyojitokeza katika chama cha ODM Kenya

13 Machi 2007

Tofauti kubwa zimeanza kujitokeza kati ya viongozi wa chama cha ODM Kenya kufuatia ziara ya baadhi ya viongozi wa chama hicho mjini London,Uingereza ambapo mmoja wao alitoa matamshi yasiyoridhisha.

https://p.dw.com/p/CHIL
Mwandishi wetu Mwai Gikonyo anaripoti zaidi kutoka Nairobi.