1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tiba ya mitishamba Ujerumani

Sudi Mnette
13 Februari 2020

Je unajua hadi wakati huu lipo kundi lenye kuamini sana matumizi ya matibabu ya dawa za mitishamba nchini Ujerumani? Tazama vidio iliyoandaliwa na Harrison Kalunga Mwilima na kisha utoea maoni yako.

https://p.dw.com/p/3Xjzv