1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 07.08.2022

7 Agosti 2022

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kufanikiwa kuzidisha mashambulizi dhidi ya vikosi vya Urusi, wasiwasi unazidi kuongezeka juu ya usalama wa kinu cha nishati ya nyuklia cha Zaporizhzhia nchini Ukraine na idadi ya vifo kutokana na ongezeko la ghasia katika Ukanda wa Gaza leo ilipanda kufika watu 24

https://p.dw.com/p/4FDtT